siku yangu nilioachwa nyumbani
jina langi ni Joy mwikali. Nilikuwa nyumbani pekee yangu kwasababu mama yangu alikuwa kazini asubuhi. Familia yangu ilienda kazini. kaka yangu huenda shuleni kila jumatatu na hurudi kila jumamosi. Kuwa nime fanya kazi kama kwa mfano nili fagia, nakuosha nguo na nika osha vyombo. Niliomaliza nili keti chini kwa kiti ni kuanza kutafuta kipindi cha ya kutuzama. Nilipoanza kupika chakula ni kuangalia kwa kabati nili pata wali na maharagwe . Lakini si kupika maharagwe nilipopika mayai. Nilifundishwa kupika mayai, wali, maharagwe na vibanzi. Nilienda nje nika mwagilia maua maji. Napenda siku yangu nilioachwa nyumbani.