insha ya Nyumbani kwetu Grade 3

Nyumbani Kwetu kuna jikoni na televisheni. Babu yangu ana osha gari kama haendi kazini, Nyanya yangu huenda kazi. nyanya yetu hutuletea chakula. Mimi na familia hula matunda. Babu yangu alipoeanda mahali ananunua zawadi. Shamba yetu ni kubwa. Nyumba yetu ina gorofa. Nyumbani yetu ina dirishsha na milango na ishi katika ndatani. Tukona Vitanda nne. Familia yangu ni Juma, Allan, Mwaura, Angelina na Ben. Nyumba yetu inapaka na viti na meza. Nyumba yetu ina miti, Mama yangy hupika chakula kitamu sana. Nyumba yetu kuna mama, baba, shangazi na kaka. Nyumbani kwetu kuna ukuta na vitabu . Baba yangu anaitwa Victor. Baba yangu ni mzuri. Nyanya yangu anauza samaki na anaipata ziwa victoria na napenda nyumbani kwetu

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top