Mimi ni mwanafunzi wa gredi la tatu. Mimi hufagia nyumba na rafiki shule napata uchafu mwingi sana. Mimi huchukuwa taka taka. Mimi hufanya mazingira safi kama kutupa taka taka. Watu watakuwa wagonjwa kama usafi hutazingatiwa shuleni. Hizi taka taka zisipotupwa yata leta madhara mengi katika mazingira yetu. Watu hufurahia kusaidia wanyama na wanyaman pori. Kusafisha mazingira husaidia afya yetu na wanyama wetu. Napenda mazingira masafi