Niliamka na furaha mengi sana. Kaka wangu aliamka vizuri sana. Nili lala vizuri. Nilipennda hiyo siku sana. Tulikuela chapati, wali, matunda na ugali. Mimi na wazazi wetu tulisherekea mwaka mpya. Tulikuanga na wageni kwa sherehe za mwaka mpya. Tulikula keki kubwa. Mimi na wageni tulikula keki. Tuli kunywa soda. Mimi na kaka wangu tulicheza mchezo wa kadanda na kusherekea mwaka mpya