Hii ni mfano wa insha ya Grade 4 kuhusu shule yetu.
shule yetu inaita Royal Grounds Academy. Shule yetu inapatikana kiambu. Shule yetu ina langu kuu moja. Mpishi huwa anatupikia wali, ugali na uji. Mwalimu wetu anatupenda sana. Mwalimu wetu ni msamizi wa shule. Shule yetu ina miti na viti. shule yetu ina walimu sita. Darasa langu lina vioo, dawati na ubao. Shule yangu ina mwalimu mkuu. Darasa langu ina kabati. Shule yangu ina ofisi. Darasa yangu ina rangi nyingi napenda shule yangu.