Joy Atieno
Sanduku la posta
744-00100
Athi River
10/02/26
Kwa rafiki mpendwa Nima,
Hujambo Nima? U hali gani? Wazazi wako hawajambo? Mimi ni mzima. Ninamshukuru Mumgu kwa kunipa afya njema
Nia ya kukuandiki hii barua ni kuku shauri binamu yako alinifahamisha kuwa mlipea na tabuleti shuleni.
Sisi tunatumia kompyura. Tunajua kufungua ana kufunga faili katika kompyuta. Tumejifunza kutafuta habari kutoka kwa mtandao. Nimesoma hadithi nyingi za kiswahili kutoka kwenye mtandao kumbe kompyuta ina mambo mazuri hivi?
Mwalimu wetu ametushauri tutumie mtandao kwa uangalifu. Ametuambia tusitume picha au video mitandaoni. Najua mwalimu wenu amewambia mtumie mtandao inavyofaa. Je amewaambia ni hatari. Kutoa siri zenu kwenye mtandao? Je amewaambia msifanye urafiki na watu msio wajua?. Je amewaambia kuwa kuna watu hujifanya marafiki ila huwateka nyara watoto?
Ni maombi yangu tuzingatie ushauri wa walimu kuhusu matumizi mazuri ya mtandao.Natumai tutakutana hivi karibuni. Tutafaya mazoezi zaidi ya kutumia kompyuta. Tutandika majina ya pande za dira. Tutatumia tavuleti ya kaka yangu chorea.
kwa heri kwa sasa wasalimie wazazi na ndugu zako
NI mimi wako,
Hera.